Ili “kuyatunza maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu” ni lazima tujitolee katika kuihubiri injili. Ili kuishi maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu yatupasa kwanza kupokea baraka ambayo ndiyo huleta uwepo wa Roho Mtakatifu ndani ya mioyo yetu. Ili kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu ni lazima tuwe na imani ambapo ni kuamini injili ya maji na Roho Mungu aliyotupatia na kwa kuwa na imani hii tutapokea baraka ambayo humfanya Roho Mtakatifu kuweka makazi ndani yetu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ili kuelewa ukweli wa injili hii njema, imempasa mtu kwanza kujua na kuelewa juu ya mpangilio wa utoaji dhabihu ulivyokuwa ukifanywa katika kusamehe watu...
Maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka toka mioyo ya wale wote wanao amini injili njema. Yohana 7:38 inasema “Aniaminiye mimi kama vile maandiko...
Maswali na Majibu