Mtume Paulo aliandika juu ya Roho Mtakatifu katika Waraka kwa Wagalatia. Katika Wagalatia 5:13-14 alisema “Maana ninyi, ndugu mliitwa mpate uhuru lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili bali tumikianeni kwa upendo. Maana torati yote imetimilika katika neno moja nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako”.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Biblia inasema katika (Matendo 2) kwamba mahubiri ya Petro yaliwagusa kwa undani watu na hata kuwasababisha watubu dhambi zao. Walichomwa mioyo yao na kumwambia...
Ili kumpokea Roho Mtakatifu tunahitajika kuwa na imani katika injili ya maji na Roho. Bwana wetu ameitwa wa Ajabu, Mshauri na Mungu mwenye Enzi....
Wale wote wenye kumwamini Yesu na kuwa na uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yao lazima waishi maisha ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Kwa Wakristo...