Kwanini tunatengwa na Mungu, na ni kwasababu gani hatuwezi kumjongelea kwa karibu? Yule mwanake aliye rithiwa alikuja kugundua yakwamba mama yake mzazi alimtelekeza hata kufikia kurithiwa ili aweze kumkomboa tokana na ufukara. Nini kingeliweza kututenganisha na Mungu? Jibu ni kwamba, shetani alipo mjaribu mwanadamu kutenda dhambi ndipo hapo dhambi hiyo ilipotutenga na Mungu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Yohana sura 20 inahabari ya ufufuko wa Yesu. Bwana wetu alifufuka tena toka kifoni na kuwaeleza wafuasi wake “Pokeeni Roho Mtakatifu”. Wafuasi wa Yesu...
Hapo mwanzo nilipatwa na tukio la kujiwa na miale ifananayo kama Roho Mtakatifu wakati wa maombi. Lakini miale hii haikudumu kwa muda, hivyo punde...
Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na...