Je, lipo tumaini la ulimwengu wa leo? Hapana Hakuna. Lipo kwa Yesu tu. Sasa ni wakati usio tabirika na kukosa matumaini. Kila kitu kinabadilika kila siku na kwa kasi watu wanajaribu kwa bidii kwenda sambamba na badiliko yaendayo kasi. Hawatafuti ukweli wa kiroho au hata kuhusika na faraja ya kiroho. Badala yake wanahangaikia kuzuia kushindwa na kuishia kuwa watumwa wa ulimwengu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ningependa sasa nizungumzie injili njema ya kweli inayotuwezesha kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu. Baada ya kifo cha Musa, Mungu katuletea Yoshua kuiongoza Israeli. Musa...
Mtu aliye kwisha mpokea Roho Mtakatifu yampasa kufanya nini? Imempasa kuihubiri injili ya maji na Roho kwa watu wote. Mungu ameweka dhamana ya injili...
Wale wote wenye kumwamini Yesu na kuwa na uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yao lazima waishi maisha ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Kwa Wakristo...