Mtu aliye kwisha mpokea Roho Mtakatifu yampasa kufanya nini? Imempasa kuihubiri injili ya maji na Roho kwa watu wote. Mungu ameweka dhamana ya injili njema yakuzaliwa upya mara ya pili kwa maji na kwa Roho mikononi mwa wale wote walio kwisha kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu.Wale wote walio kwisha pokea msamaha wa dhambi zao mbele ya Mungu hupokea Roho Mtakatifu. Sasa basi kwanini unadhani Mungu ametunuku karama ya Roho Mtakatifu kwao?
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Maswali na Majibu
Je unaelewa ukweli ulivyo? Yesu alisema “mimi ndimi njia” (Yohana 14:6), hivyo kumjua Yesu ndiko kuijua kweli. Je, Roho Mtakatifu huweka makazi ndani yako...
Kwa kuangalia wafuasi wa Yesu Kristo kiwango cha imani zao walipokuwa na Roho Mtakatifu ndani yao ni tofauti kabisa na imani zao walipokuwa hawajawa...