Wale wote wenye kumwamini Yesu na kuwa na uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yao lazima waishi maisha ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Kwa Wakristo maisha ya ujazo wa Roho Mtakatifu ndiyo mahitaji ya Mungu. Inatulazimu kufuata mpangilio wake. Hivyo basi, kwa vipi tutaweza kuishi maisha ya ujazo wa Roho Mtakatifu? Nilazima tuwe makini kwa lile Mtume Paulo aliloelezea.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Mtume Paulo aliandika juu ya Roho Mtakatifu katika Waraka kwa Wagalatia. Katika Wagalatia 5:13-14 alisema “Maana ninyi, ndugu mliitwa mpate uhuru lakini uhuru wenu...
Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na...
Ili “kuyatunza maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu” ni lazima tujitolee katika kuihubiri injili. Ili kuishi maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu...