Maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka toka mioyo ya wale wote wanao amini injili njema. Yohana 7:38 inasema “Aniaminiye mimi kama vile maandiko yalivyonena mito ya maji yaliyo hai itatiririka ndani yake.” Maana yake ni kwamba upo wokovu wa kweli na ondoleo la dhambi kwa wale wote wenye kuamini injili njema ambayo Mungu ametupatia.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Mtu aliye kwisha mpokea Roho Mtakatifu yampasa kufanya nini? Imempasa kuihubiri injili ya maji na Roho kwa watu wote. Mungu ameweka dhamana ya injili...
Yohana sura 20 inahabari ya ufufuko wa Yesu. Bwana wetu alifufuka tena toka kifoni na kuwaeleza wafuasi wake “Pokeeni Roho Mtakatifu”. Wafuasi wa Yesu...
Je, lipo tumaini la ulimwengu wa leo? Hapana Hakuna. Lipo kwa Yesu tu. Sasa ni wakati usio tabirika na kukosa matumaini. Kila kitu kinabadilika...