Yohana sura 20 inahabari ya ufufuko wa Yesu. Bwana wetu alifufuka tena toka kifoni na kuwaeleza wafuasi wake “Pokeeni Roho Mtakatifu”. Wafuasi wa Yesu walipokea uwepo wa Roho Mtakatifu kama zawadi toka kwake. Yesu alitoa uwepo wa Roho Mtakatifu na uzima wa milele kwa wale wote wanaoamini ubatizo wake na damu yake iliyo safisha dhambi zao zote. Biblia inasema kwamba ubatizo wa Yesu ni mfano wa wokovu ambapo ubatizo huo uliokoa wanadamu wote kwa dhambi zao (1 Petro 3:21).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Maswali na Majibu
Kwanini tunatengwa na Mungu, na ni kwasababu gani hatuwezi kumjongelea kwa karibu? Yule mwanake aliye rithiwa alikuja kugundua yakwamba mama yake mzazi alimtelekeza hata...
Hapo mwanzo nilipatwa na tukio la kujiwa na miale ifananayo kama Roho Mtakatifu wakati wa maombi. Lakini miale hii haikudumu kwa muda, hivyo punde...